


Wasted


Huku Kenya unaweza kudhani uko kwa relationship kumbe wewe ni Caicedo tu. Unapiga tackles, unafanya dirty work, unalinda midfield… lakini captain’s armband inaenda kwa mwingine. 😭😂

Acha ningie locals kidogo kuna vyenye na funga macho naanza kuona Giza, Acha nishike hako quarter ndio tuendelee

Ndio kutokea youtube kuwatch hiyo YAMII ya Maandy yenye inatrend kwa tiktok majuu si wamama wameiva hapo gaddemit🙃

Nipee za leo nistake na 5 mackenzies each
We ushai sweat haga msee😅

Men who suck boobs daily have better thinking capacity.

Shiet! Karibu nimalize na sijapiga picha mjue mimim ni tajiri siku hizi sikuli githeri.

Hii December nikupitia contact list kudelete number za failed talking stages Na watu sijui Wa save for save , without forgetting to block wale madem Wa kuniomba pesa urgently, round hii staki mchezo kabisa.

The name Eldoret ni ukubwa kuliko ata county yenye iko, nimeishi nikidhani Eldoret ni county kumbe ni town ya Uasin Gishu county

Mtu anahype GTA 6 na anatumia simu za mkopo, upgrade your gadget first 😂🤌🏿

Na ukiona mmepanga kumeet na huwa inabounce kila time wachaneni tu nayo hiyo ni maswara🙄

Normalize not keeping those uber and bolt guys waiting at the pick up points. If you're not ready just don't request until you're.

Mbona Jalas akigawa dooh lazima aunde vurugu, then ahepe na pesa. Next time watamfanya mbaya.

Kuna morio Wangu tweep mwenye haeziondokea hii kabisa 😹

"Piga ingine kama tumeshikilia hivi ndio wananchi wadhani tunapinga pombe marufuku🙃

Si mine nini iko apo pinned post kuna nini guys