←
Salim Kikeke24,452 posts
Salim Kikeke avatar

Salim Kikeke

@Salym

Co- founder Crown Media. Award-winning Radio & TV Presenter| Former BBC | 🇹🇿🇬🇧 **Tweets in English & Swahili** #VisitTanzania

◷ Joined February 2009▧ 5,430 Photos and videos
Salim Kikeke avatar
Salim Kikeke@Salym·31 May 2023

POEM FOR MY SON Dear Son, by the time you read this, I will probably be gone, I want you to know, that I wasn’t amiss, I fought to the bone, So that I could give you, your daily kiss, But legal battles alone, Sent me deep into the abyss, I wanna say I Love you, I always will. For almost seven years, We were together every day, All is now down to tears, I can’t even find a way, Meditation and prayers, I still feel the pain of betray, I plea with the Man upstairs, I just wanna say I Love you, I always will. And every night as I drift away, I keep seeing you in my dreams, Like a message, you’re trying to convey, Dad, come and get me, you say, But I can’t find the means, And ways, for us to be a teams, But in dreamland playdays, I always say, I Love you Son, I always will…. 💔💔💔💔

Post attachment
Salim Kikeke avatar
Salim Kikeke@Salym·10h

It’s the most wonderful time of the year 🎄🎄 Happy souls

0:39
Mohammed Dewji MO avatar
⟳ Salim Kikeke retweeted
Mohammed Dewji MO@moodewji·Nov 17

Siku moja, kila kitu unachomiliki kitatumiwa na wengine, kitatolewa kama msaada, au kitatupwa. Kile kitakachobaki si mali uliyokusanya, bali ni mabadiliko chanya uliyoyaleta katika maisha ya watu wengine.

Salim Kikeke avatar
Salim Kikeke@Salym·Nov 17

Karibu TAREX. Registration is FREE

0:45
Salim Kikeke avatar
Salim Kikeke@Salym·Nov 16

FROM BBC TO DALALI WA VIWANJA. MABWEPANDE. Tupigie simu, miliki kiwanja chenye hati. DM for more info

Post attachmentPost attachmentPost attachmentPost attachment
Edward Ssekandi avatar
⟳ Salim Kikeke retweeted
Edward Ssekandi@ESsekandi·Nov 16

Getting older has taught me that not every disagreement needs a response. Sometimes the best thing you can do is to protect your mental health and quietly walk away.

Salim Kikeke avatar
Salim Kikeke@Salym·Nov 16

FROM BBC TO DALALI WA VIWANJA. USIFUATE MKUMBO WA WACHONGA NGENGA. DM KWA MAELEZO ZAIDI. BUY A PLOT, BUILD YOUR DREAM HOUSE

Post attachmentPost attachment
1:18
Salim Kikeke avatar
Salim Kikeke@Salym·Nov 16

Hoima City Stadium- Hoima Oil City, Uganda.

1:05
Salim Kikeke avatar
Salim Kikeke@Salym·Nov 16

Ijue asili ya jina la KIMARA BUCHA Karibu TAREX ni BURE Kama unatafuta kununua nyumba, kuwekeza, au kujifunza kuhusu milki karibuTarex Superdome Masaki November 20-22

2:59
Salim Kikeke avatar
Salim Kikeke@Salym·Nov 16

Massive offer from Makuti. Free night at their villa if you visit their booth at TAREX (T&C’s apply)

0:44
Fortunatus Buyobe avatar
⟳ Salim Kikeke retweeted
Fortunatus Buyobe@fbuyobe·Nov 15

Anaandika MADARAKA NYERERE Nimehudhuria jijini Moscow mkutano wa Russia–Africa Summit na nimepata fursa ya kukutana na Samia Nkrumah, binti wa Rais wa kwanza wa Ghana, Kwame Nkrumah (kushoto), na Dk. Mbuyiseni Ndlozi (katikati), aliyekuwa kiongozi wa chama cha siasa cha Economic Freedom Fighters (EFF) cha Afrika Kusini. Nilimwambia Dk. Ndlozi nilimuuliza mtu sababu za yeye kuachana na siasa, na nimeambiwa ni “hadithi ndefu”. Yeye hakufafanua; alicheka tu. Samia, ambaye amewahi kushiriki siasa nchini Ghana, aliniambia siasa ina mambo magumu! Dk. Ndlozi alikuwa miongoni mwa waanzilishi wa EFF na alihudumu kama msemaji wa kitaifa wa chama hicho, pamoja na kuwa mbunge kwa zaidi ya miaka kumi. Alikuwa pia mmoja wa viongozi waliotambulika zaidi ndani ya chama kilichoongozwa na Julius Malema. Mwaka 2024, alianza kukumbwa na mgogoro wa ndani ya chama. Wiki sita kabla ya mkutano mkuu wa uchaguzi wa EFF wa Desemba 2024, alisimamishwa kushiriki shughuli za chama na Bunge. Katika mahojiano na SABC, alisema tuhuma mbili zilihusika katika hatua hiyo. Ya kwanza ilidai kwamba alihusika katika mkakati wa chama cha uMkhonto weSizwe (MK) wa kupenyeza watu ndani ya EFF. Ya pili ilidai alifahamu mipango ya aliyekuwa naibu rais wa EFF, Floyd Shivambu, ya kuondoka chamani na kujiunga na MK, lakini hakutoa taarifa kwa uongozi wa EFF. Dk. Ndlozi alikanusha kuhusika na njama yoyote ya kuipenyeza EFF kwa niaba ya MK, na akasema haikuwa wajibu wake kutoa taarifa kwa uongozi kuhusu uamuzi wa Shivambu. Pia alipinga uhalali wa kusimamishwa kwake, akisema katiba ya chama ilikiukwa. Mnamo Februari 2025, alitangaza rasmi kujiuzulu uanachama wa EFF na kujiondoa katika siasa za vyama. Alisema atatumia maarifa na uzoefu wake kuchangia maendeleo ya nchi kupitia taaluma, utafiti na asasi za kiraia. Kwa mtazamo wake, siasa za vyama si njia pekee ya kuleta mabadiliko katika jamii. Mnaofikiria kuingia kwenye siasa nawakumbusha zipo shughuli nyingi ambazo zinatabirika, mfano kulima alizeti au matikiti.

Post attachment
Salim Kikeke avatar
Salim Kikeke@Salym·Nov 15

Landed safely in Murchison Falls from the lovely Kidepo Valley National Park. What a warm welcome from @entikkosafari

0:54
MsEmaKweLi📌 avatar
⟳ Salim Kikeke retweeted
MsEmaKweLi📌@GRANDTOYO·Nov 15

🔥🔥peleka moto kaka usipangiwe maisha na wasomi walioamua kuwa wapumbavu