←
Tanzania Forest Services Agency523 posts
Tanzania Forest Services Agency avatar

Tanzania Forest Services Agency

@TFSAgency

Established on 30th July, 2010 aims at improving the delivery of public services related to sustainable supply of quality forest and bee products and services

◷ Joined January 2017▧ 377 Photos and videos
Tanzania Forest Services Agency avatar
Tanzania Forest Services Agency@TFSAgency·19 May 2025

Usikose kufuatilia hatua kubwa zinazotekelezwa na Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) katika usimamizi endelevu wa rasilimali za misitu na nyuki, kama sehemu ya ajenda ya Serikali ya Awamu ya Sita ya kujenga uchumi shirikishi wa kijani.

Post attachment
Tanzania Forest Services Agency avatar
Tanzania Forest Services Agency@TFSAgency·5 May 2025

Wizara ya Fedha na Mipango kwa niaba ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tarehe 23 Agosti 2023. Hafla ya leo Mei 5, 2025 imefanyika katika Msitu wa Hifadhi ya Mazingira Asilia wa Pugu–Kazimzumbwi, Wilaya ya Kisarawe, Mkoa wa Pwani,

Tanzania Forest Services Agency avatar
Tanzania Forest Services Agency@TFSAgency·5 May 2025

milioni 338, unajumuisha magari mawili aina ya Toyota Land Cruiser Hardtop (5-seater) na pikipiki 20. Umetolewa kupitia mkataba wa utekelezaji wa Mradi wa Kuimarisha Ustahimilivu wa Bioanuai ya Misitu dhidi ya Athari za Mabadiliko ya Tabianchi, uliotiwa saini kati ya UNDP na

Tanzania Forest Services Agency avatar
Tanzania Forest Services Agency@TFSAgency·5 May 2025

Kamishna wa Uhifadhi wa TFS), Prof. Dos Santos Silayo, akisaini Mkataba wa Makubaliano ya kupokea msaada kutoka kwa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), pamoja na Mwakilishi Mkazi wa UNDP nchini, Shigeki Komatsubara. Msaada huo, wenye thamani ya zaidi ya Shilingi ...

Post attachmentPost attachmentPost attachmentPost attachment
Tanzania Forest Services Agency avatar
Tanzania Forest Services Agency@TFSAgency·22 Apr 2025

𝐒𝐢𝐤𝐮𝐤𝐮𝐮 𝐲𝐚 𝐏𝐚𝐬𝐚𝐤𝐚 𝐌𝐚𝐠𝐚𝐦𝐛𝐚 𝐢𝐦𝐞𝐰𝐚𝐤𝐚! Watalii kutoka ndani na nje ya nchi wamechagua Hifadhi ya Mazingira Asilia ya Magamba kama sehemu yao ya kusherehekea, wakifurahia mandhari ya kijani, hewa safi na utulivu wa kipekee wa msitu. Karibu Magamba

1:29
Tanzania Forest Services Agency avatar
Tanzania Forest Services Agency@TFSAgency·22 Apr 2025

Siku ya Dunia 2025 Katika dunia moja tunayoshirikiana, misitu ni urithi na jukumu letu sote. Tuchukue hatua kulinda na kuhifadhi misitu yetu—kwa maendeleo endelevu, afya ya sayari, na kizazi cha sasa na vijavyo. Dunia Moja, Misitu Yetu, Wajibu Wetu. #EarthDay2025

Post attachment
Tanzania Forest Services Agency avatar
Tanzania Forest Services Agency@TFSAgency·17 Apr 2025

Karibu Pasaka hii, badilisha mandhari! Jivinjari kwenye misitu yenye utulivu, mandhari ya kuvutia na historia ya asili inayogusa moyo. Misitu Yetu, Utajiri Wetu Tembea, jifunze, pumzika na ufurahie uzuri wa TZ kupitia utalii wa misitu.

0:59
URT Updates avatar
⟳ Tanzania Forest Services Agency retweeted
URT Updates@urtupdates·20 Mar 2025

Katibu Mkuu @MNRT_Tanzania Dkt. Hassan Abbasi akiwa ameambatana na Kamishna Mkuu wa Uhifadhi @TFSAgency (TFS) Prof. @SilayoDos wametembelea na kukagua maonesho maalumu ya ambayo yanaonyesha mnyororo wa thamani wa Sekta ya Misitu ktk viwanja vya Saba Saba Mjini Njombe. Mgeni rasmi katika kilele cha siku ya Misitu Duniani anatarajiwa kuwa Waziri Mkuu, Mhe. @KassimMajaliwa_

Post attachment