←
person unknown!32,173 posts
person unknown! avatar

person unknown!

@_lost_07

Heavens I need a hug. Iam here to avoid friends on Facebook.dont follow me follow Jesus

◷ Joined March 2023▧ 7,018 Photos and videos
travis avatar
⟳ person unknown! retweeted
travis@_travis112·4h

Night gains, Tuguziane before tufunge kazi guys, who's active?

travis avatar
⟳ person unknown! retweeted
travis@_travis112·4h

Kutoka kasongo aingie kwa serikali sijawahi kunywa chai ya maziwa, kesho naenda kukopa deni atleast nijikumbushe

Githinji avatar
⟳ person unknown! retweeted
Githinji@iamgithinj_i·4h

mechi za weekend hua zinabookiwa from as early as monday, by thursday slots zote zinakuanga zimejaa😂

Levi$🧠 avatar
⟳ person unknown! retweeted
Levi$🧠@ItsLeecapalot·4h

najua ukona hasira na njaa lakini mbona uende ucomment kwa post ya christiano ati 'where is your world cup'!😂😂

person unknown! avatar
person unknown!@_lost_07·4h

Nko sure saa hii Kuna mtu amevaa nguo zangu za Christmas uko majuu. poverty is the enemy 😂

travis avatar
⟳ person unknown! retweeted
travis@_travis112·4h

Most bachelors humaliza 3 days bila kuoga until uoe bibi unaambiwa usipandishe hiyo miguu imeparaa kwa hii kitanda ukikosa kuobey hizo orders usiku unanyimwa.

Nduko™ avatar
⟳ person unknown! retweeted
Nduko™@3690brian·5h

Hii video unimaliza 😂😂

0:49
person unknown! avatar
person unknown!@_lost_07·4h

Gate pass ya kuingia kwa single mother imekua expensive hivi? 😂😂😂

System imekuwa so corrupt sai mtoto wa single mother ameniambia kesho nisipomletea baiskeli nisikanyage kwao tena😭😂

painkiller 💀 avatar
⟳ person unknown! retweeted
painkiller 💀@thombrider254·5h

System imekuwa so corrupt sai mtoto wa single mother ameniambia kesho nisipomletea baiskeli nisikanyage kwao tena😭😂