
I will never be broke in my life. 01/01/2026🔐

💎Multi-talented Proficient and creative | Software Developer | Mobile App dev🎭

I will never be broke in my life. 01/01/2026🔐

🥹Daah Huyu Jamaaa 🫡🫡😩🙌🏾 Mpaka internet inazimwa HUYU NI MWANAUME🔥🔥🔥🔥🙌🏾

29/10/2025 06/11/2026 WE WILL NEVER FORGET💔

Mimi sio mtu wa emotions sana ila leo niko very emotional, I hope tutapewa dhamana au tutapewa fine, binafsi niko tayari kulipa hata yote peke yangu, I hope TAL atarudi nyumbani leo inshAllah.





Kama una hela za kula vi laki vi million 1,2 achana na maswala ya kuwekeza bro sijui UTT sijui HISA 🫵🏿🫵🏿🫵🏿 ACHAAAA

Badili milango wa chooni na wakuingia ndani weka Ac weka kochi moja refu likali weka setup ya kazi weka zulia geto litakuwa 🔥🔥usijazee mavitu ambayo hayana umuhimu
Waliokuwa wanauliza update ya Geto baada ya kujenga choo hii hapa. Kapeti limegoma kunyooka but ilimradi na-survive. Kameza ka Tv wamenipokonya but nitajenga showcase soon.





