VYUO VINAFUNGULIWA, JE, MTOTO WAKO ANA LAPTOP?
Je unaanza chuo na unahitaji laptop? Basi tunazo laptop zinazo anzia bajeti ya 300,000/= na kuendelea kwaajili yako.
Fika dukani kwetu @usedpointTz Ubungo Mawasiliano au Kimara
Call: ☎️0788106694 or Whatsaap
Free delivery in DSM
Unaangaika na course work na assignment chuo unamaliza huna kazi ila unaona Marioo, Diamond na Harmonize wana excel na wewe upo na cheti chako kubabako 😂😂
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, aliyekuwa Mgeni Rasmi katika maadhimisho ya miaka 40 ya Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH), akihutubia mamia ya washiriki na wageni katika maadhimisho hayo.
#COSTECHAt40Summit
Ripoti ya Mwaka wa Fedha 2024/2025 ya Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH), inayoeleza mafanikio na utekelezaji wa majukumu ya Tume, imezinduliwa rasmi na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba.
#COSTECHAt40Summit
Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH), Dkt. Amos Nungu ([@nungujr]), akiwasilisha hotuba katika Kilele cha maadhimisho ya miaka 40 ya COSTECH.
#COSTECHAt40Summit
Naibu Katibu Mkuu – Sayansi, Teknolojia na Elimu ya Juu, Prof. Daniel E. Mushi, kutoka Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, akiwatambulisha wageni na viongozi mbalimbali waliohudhuria.
#COSTECHAt40Summit
Baadhi ya viongozi wakiongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa COSTECH, Dkt. Amos Nungu, wakiingia ukumbini katika Maadhimisho ya #COSTECHAt40Summit Mlimani City tarehe 18 Novemba, 2026.
Wimbo wa Taifa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ukiimbwa kwa heshima, ukiongozwa na Brass Band ya Jeshi la Polisi Tanzania, katika kilele cha maadhimisho ya miaka 40 ya COSTECH.
#COSTECHAt40Summit
VIDEO:
Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Magharibi, Wakili Dickson Matata, ameeleza kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) hakiko tayari kushiriki katika mchakato wa maridhiano au mazungumzo yasiyokuwa na nia ya dhati, huku akiweka masharti ya awali kabla ya chama hicho kushiriki.
Akizungumza leo Novemba 18, 2026, katika kipindi cha Jambo Asubuhi, Wakili Matata ameeleza kuwa maridhiano ya kitaifa hayawezi kufanikiwa ikiwa CHADEMA ambacho ni chama kikuu cha upinzani chenye wanachama wengi na madai ya msingi kama vile Katiba Mpya, Tume Huru ya Uchaguzi, na ukomeshaji wa utekaji kitaachwa au kutengwa. Amebainisha kuwa kujaribu kutenga kundi lililosigana sana na serikali kutashindwa kuleta mtengamano unaohitajika nchini.
"Sisi CHADEMA huwezi ukatuita kwenye maridhiano au kwenye mazungumzo wakati kwanza Mwenyekiti wetu yumo ndani kwa kesi ambayo sisi CHADEMA sasa tunaamini ni ya kisiasa. Maridhiano hayawezekani bila CHADEMA... Ukizungumza kwamba CHADEMA siyo kundi muhimu kwenye maridhiano unajidanganya," amesema Wakili Matata.
Mgeni Rasmi, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, akiingia ukumbini katika kilele cha maadhimisho ya miaka 40 ya COSTECH.
#COSTECHAt40Summit
Kweli AzamPesa hawana njaa! 😂🔥
Unaponunua kifurushi cha 28K kupitia AzamPesa, wanakupandisha mpaka cha 35K muda huohuo!
Pakua App ya AzamPesa na wewe ufurahie offer hii. Download sasa kupitia link hapa chini 👇
apps.apple.com/tz/app/azampe…
The COSTECH@40 Summit – Day 1 is officially underway, with sessions now in progress!
We are celebrating 40 years of advancing Science, Technology and Innovation in Tanzania.
Karibu tuungane nasi katika maadhimisho haya ya kihistoria!
#COSTECHAt40Summit