

✓

USIMKATIE MUNGU TAMAA. Katika magumu yoyote na changamoto zozote unazopitia usimkatie Mungu tamaa. Hata katika dakika za mwisho, pale ambapo hakuna dalili ya msaada wake, bado usimkatie Mungu tamaa. Abraham alifika miaka 100, na Sara miaka 90, ilikuwa ni rahisi kukata tamaa👇🏾

Utii ni muhimu sana. Amri za Mungu ni kweli na hakika. Pastor kaongea ukweli sana hapa. ~Pastor Tony Kapola.

Mmetoka wote chuo , halafu unataka ukute kijana uliyekuwa naye chuo awe ana kila kitu kama nyumba,gari na kazi nzuri,mbona wewe huna?Kwani unataka kuolewa na baba yako ?Angalieni Dream, Vision, ethics na discpline na mkaanze kupigana pamoja kujenga maisha yenu. Hao ambao mnawaona na material achievement kuna wkt walikuwa hustlers na iliwahitaji muda ku overcome vitu hivi isipokuwa labda kwa baadhi ya family chache sana. Muulize mama yako kama alimkuta baba yako na kila kitu ! Dont judge a man by the size of is wallet kama haufahamu ndoto na future yake anatamani aina gani ya maisha.Kuna wakati gari unayoona ni new model leo baada ya miaka miwili inakuwa old model , na wewe uli fall in love kwa new model.Nyanyua antena ya Tafakari,ndio maana imeandikwa na wala msiudharau ule mwanzo mdogo. Be humble , unyenyekeve sio utumwa,you can start from one bedroom halafu after sometimes mkawa Land Lords to many.Halafu kumbukeni hata mama yako alikuwa demu.Mkiwa serious mtasaidia kupunguza hata chawa mitaani , maana you will only fall in love with character and not power and money. Nimejisikia tu kuandika tu. Heri ya kufunga Mwaka.

He was begging for his life just moments before. x.com/AmiramKrasner/status/1…

Mambo zenyuuuuu leo nina mzuka tunafika mpk sa6 usiku….kila mtu atapata mention leo, Weka handle like qt rt naona kwa urahis, hakikisha unafb woooooote wanaokufb, USIJE DM

MEN ZINGATIA HAYA NA KUYAEPUKA 1. Usiuze ardhi ya baba zako(urithi) Kuwa makini pale unapotaka ya kuuza ardhi uliyorithi. Hiyo ni ya uzao wenu na wako. Ukiuza unaweza wapa watoto wako shida usizojua zimetokana na nini. Zab 22:28 2. Acha kujichukia. Huwezi kumfurahisha.. Uzi🧶

LEO KWENYE SIMU . NJIA NYEPESI YA KUZIFAHAMU PASSWORD ZA WI-FI NETWORK ULIYOUNGANISHWA. Kwenye simu za Android 📱...ila pia iPhone inawezekana.🧵🧵🧵 Kama ulibahatika kuungwa kwenye wi-fi network na aukumbuki password hili umuunge na rafiki yako anaetaka kuenjoy soma hii👇

NJIA NYEPESI YA KUZIAFAHAMU PASSWORD YA WI-FI NETWORK ULIYOUNGANISHWA. Uzii 🧵🧵🧵🧵🧵🧵🧵🧵. Uwa inachekesha sana mtu anakuuliza unaijua password ya hapa na mm uniunganishe, unasema ujui wakati PC/Laptop yako ipo connected basi soma hii mpaka mwisho 👇

Namna Ya Kutengeneza Mahusiano Mazuri na Mungu wako📖⛪ Thread -🧵👇

𝗟𝗜𝗔𝗠 𝗦𝗠𝗜𝗧𝗛 𝗩𝗦 𝗛𝗔𝗦𝗦𝗔𝗡 𝗠𝗪𝗔𝗞𝗜𝗡𝗬𝗢 🔥 Tomorrow night ⏳ #SmithMwakinyo | @Boxxer | #FightNightLiverpool

You were created in His image. He didn’t make any mistakes. You didn’t get shortchanged. He wasn’t having a bad day when He made you. Quit beating yourself up, living unworthy. Receive His mercy and move forward with your life.

SOMA MKASA HUU KUNA FUNZO Mwanaume mmoja alimuoa mwanamke mrembo na alikuwa akimpenda sana. Siku moja huyo mwanamke alipatwa na maradhi ya ngozi hivyo kidogo kidogo alianza kupoteza urembo wake…..

Siku ya jana 1/05/2022 tulipata baraka katika safari yetu ya kutokea Arusha kwenda Mwanza, baada ya abiria wetu mmoja wa kike kujifungua akiwa safarini na basi letu pendwa T 487 DWN. 🙏🙏

