


|@YoungAfricansSC|@manUtd|


Wapwa hebu tuinuane leo, kama sijakufollow weka handle tuondoke👋🔥👇

So kule kwenye ile meli, watu watawajibishwa?! ikiwa tu itaonekana ●ni uzembe umefanyika.. ●uhujumu umefanyika.. ●kosa la kutaka kuua.. au ndio kama kawaida , kila mtu aishi maisha yake asubiri unyakuo?🤒🤔


Fanya yote ila usisahau kumuogopa mtu anayenyamaza kimya wakati ukiwa unaongea sana.


JE, WAJUA. Kifo cha mdudu huyu ndio maarufu zaidi kuliko vifo vya wadudu wengine wote..?

Lile tukio la Miamba kugongwa na Nahodha kwenye majaribio. Litatolewa ufafanuzi. Msisite kusikiliza 🤝

Kuna wameoa single mothers maisha yamewanyookea kinoma. Mara pengine waibavu wako anarubuniwa kabla ya kukutana naye. Ila mkikutana ndio mambo hunyooka.

Baada ya kumshikiria kwa muda mrefu hatimae leo wamemfikisha kwenye mahakama ya kijeshi na anatuhumiwa kwa makosa ya kuhatarisha usalama wa taifa ama uchochezi na uhaini. Mtu hawezi hata kutembea wala kusimama💔
Sam Mugumya huyo picha ni mwanaharakati na mwanasiasa wa Uganda, alikuwa msaidizi wa karibu wa Dkt. Kizza Besigye. Aliwahi kuwa Katibu Mkuu wa Youth League ya FDC na alikuwa miongoni mwa wahusika wa harakati za Walk to Work Alizaliwa mwaka 1979 Rukungiri, Uganda na alisoma Political Science katika Chuo cha Makerere akahitimu mwaka 2006 Mwaka 2014 alikamatwa nchini DRC na kuwekwa kwenye gereza la kijeshi la Ndolo kwa takribani miaka 8 kabla ya kuachiwa Oktoba 21, 2022 Mwaka 2025, Mugumya alitoweka tena Mbarara kwa kutekwa na watu wasiojulikana. Mamlaka za Uganda zilikanusha kumshikilia, huku Mahakama ikiagiza Serikali kumleta au kueleza alipo na kama anakosa ashitakiwe na awajibishwe kwa mjibu wa sheria Agosti 2026, picha na video zilisambaa mitandaoni zikimuonyesha akiwa hai lakini katika hali ya kudhoofika sana na amepitia mateso makubwa hawezi hata kusimama. Leo pia zimevuja video zikumuonyesha alivyoteswa na kukonda vibaya mno hawezi hata kutembea Wakati huo huo, aliyekuwa boss wake Dkt. Kizza Besigye ambae ni mpinzani mkuuu wa Museveni yuko gerezani kwa siku 683 tangu kukamatwa kwake Nairobi tarehe 16 Novemba 2024, akikabiliwa na mashtaka ya uhaini

Wafanya biashara wenye maduka sinza baada ya we kulipia kitu be like "Bodaboda wangu kasema delivery ni 20000 ulipo na hapunguzi au ubolt japo sio salama na kama una mtu wa kumtuma anaweza kuja au ukipata time njoo mwenyewe dukani😂😂


Umekatia tamaa maisha yako sasa watu wanakosa gani kwenye maisha yako💔💔🥲


Kuna goma moja ameimba Awilo Longomba oyaa sijui tu linaitwaje ila ni bonge moja la wimbo 🔥🔥🔥
