←
TV 47 Digital54,140 posts
TV 47 Digital avatar

TV 47 Digital

@tv47digital

Welcome to TV 47 - The Home of Untold Stories. #TV47 #TV47News #TV47Live

◷ Joined August 2025▧ 47,008 Photos and videos
TV 47 Digital avatar
TV 47 Digital@tv47digital·3h

UPINZANI WAMPUUZA RUTO Upinzani wapuuza hotuba ya Rais Ruto. Sifuna ataja visa vya utekaji. Kalonzo adai haki kwa waathiriwa. Wana Upinzani wasema vijana wanakabiliwa na ukosefu wa ajira. Upinzani wataka serikali iwajibike. #TV47Habari @PauKirobi

TV 47 Digital avatar
TV 47 Digital@tv47digital·3h

MAZIWA YAKO WAPI? Uzalishaji wa maziwa wafika lita 5.5B. Wakenysa wasema kuna uhaba wa maziwa bei yafika Sh.60. Bei ya mbolea yashuka hadi Sh2,000. Mauzo ya kahawa yafika bilioni 52.1. Wakulima wa miwa kupata bilioni 1.2. #TV47Habari @PauKirobi

3:10
TV 47 Digital avatar
TV 47 Digital@tv47digital·3h

MITIHANI YACHAPISHWA KENYA Kenya yaokoa bilioni 1.5 kwa uchapishaji wa mitihani huku walimu 20,000 zaidi kuajiriwa mwezi ujao.. Mitihani ya kitaifa yachapishwa humu nchini. Walimu 20,000 zaidi kuajiriwa mwezi ujao. Walimu 120,000 kuwa wameajiriwa chini ya uongozi wa Ruto. #TV47Habari @PauKirobi

2:20
TV 47 Digital avatar
TV 47 Digital@tv47digital·4h

ICYMI: Equity Group delivered a 32% year-on-year increase in Profit After Tax to KSh71.5billion from KSh54.1 billion with Profit Before Tax increasing by 37% to KSh89.8 billion up from KSh65.6 billion. tv47.digital/equity-group-de…

TV 47 Digital avatar
TV 47 Digital@tv47digital·4h

WANDAYI: "For the first time, we have president who is bold to make tough policy decisions"

3:41
TV 47 Digital avatar
TV 47 Digital@tv47digital·4h

MAZIWA YAKO WAPI? Uzalishaji wa maziwa wafika lita 5.5B. Wakenysa wasema kuna uhaba wa maziwa bei yafika Sh.60. Bei ya mbolea yashuka hadi Sh2,000. Mauzo ya kahawa yafika bilioni 52.1. Wakulima wa miwa kupata bilioni 1.2. #TV47Habari @PauKirobi

3:10
TV 47 Digital avatar
TV 47 Digital@tv47digital·4h

MAANDAMANO YA JUNI 2024 Uchunguzi kuhusu ukiukaji wa haki utaendelea. Ruto: Fidia haiwezi kufuta mateso ya waathiriwa, Takriban watu 60 waliuawa wakati wa maandamano. Waathiriwa na familia zao bado wanatafuta haki. #TV47Habari @PauKirobi

2:20
TV 47 Digital avatar
TV 47 Digital@tv47digital·5h

TATHMINI YA WANANCHI Wananchi wanasema bidhaa muhimu bado ni ghali majumbani. Wakenya wengi wanaendelea kukabiliwa na mzigo wa ushuru wa juu. Vijana wanataka fursa zaidi za ajira zinazofikika. Ruto ataja kufufuka kwa uchumi na upanuzi wa miundombinu. Bei ya mbolea imeshuka kutoka Sh6,500 hadi Sh2,500. Wananchi wanatumai kupata nafuu kabla ya uchaguzi ujao. #TV47Habari @PauKirobi

3:06
TV 47 Digital avatar
TV 47 Digital@tv47digital·5h

RUTO: UCHUMI UMEIMARIKA Rais Ruto apigia debe kuimarika kwa uchumi. Ruto: Serikali imeweka mikakati ya kupunguza gharama. Ruto: Shilingi ya Kenya imesalia Ksh.129 kwa dola ya Marekani. Ruto: Akiba ya fedha za kigeni iiliongeza hadi dola bilioni 15.3. #TV47Habari @PauKirobi

2:52
TV 47 Digital avatar
TV 47 Digital@tv47digital·6h

President Museveni hosts Tanzanian President Samia Suluhu Hassan for talks in Kampala. Their discussions focused on committing to expedite the completion of the East African Crude Oil Pipeline (EACOP) and accelerate the development of the Standard Gauge Railway (SGR). #TV47News

Post attachment