←
TricyLove🦁230,218 posts
TricyLove🦁 avatar

TricyLove🦁

@amprincess9

Favored Tricy | Deuteronomy 28 | @TricyDagaa_ |

◷ Joined November 2019▧ 3,936 Photos and videos
TricyLove🦁 avatar
TricyLove🦁@amprincess9·Jul 8

KARIBU NAUZA SAMAKI, DAGAA, FULU, SENENE, MAFUTA YA SAMAKI NA MAYAI YA SAMAKI. Bei zake ni👇 DAGAA WA KUKAANGA Debe 125,000 Nusu debe 70,000 Sado 25,000 ♦️Fulu wa kukaanga - Sado 25,000 ♦️Dagaa kavu - Sado 10,000 ♦️Samaki vibambala 15,000/1pc ♦️Samaki za kukaanga 16,000/Kg SAMAKI WABICHI NDOO KUBWA & NDOGO (SATO & SANGARA) Samaki ndoo ndogo 120,000 Samaki ndoo kubwa 220,000 BIDHAA NYINGINE NAZOUZA ✅Mafuta ya Samaki 20 ltrs 90,000 5 ltrs 30,000 1.5 ltrs 10,000 ✅Mayai ya Samaki Ndoo kubwa 55,000 Ndoo ndogo 35,000 Sado 17,000 📍Mwanza & Dar es Salaam Natuma popote ulipo. KARIBU SANA. 📲 0759855572

Post attachmentPost attachmentPost attachmentPost attachment
Sally Brown🌷 avatar
⟳ TricyLove🦁 retweeted
Sally Brown🌷@officielsalome·13h

🛒 Shopping ya nyumbani,iwe rahisi na yenye nafasi ya kushinda! Lipa shopping zako zote kupitia Lipa Hapa ndani ya SimBanking 📲,upate nafasi ya kujishindia mkwanja kila mwezi au safari za Ulaya na Serengeti! Nunua,lipa na ushinde! 🎉 #SimBankingKimpangoWako

Post attachment
KAPETO🇹🇿 avatar
⟳ TricyLove🦁 retweeted
KAPETO🇹🇿@kapeto98·5h

Mkuu wa Shule ya Awali na Msingi ya St. Anne Marie Academy anawatangazia wazazi na walezi nafasi za kujiunga na masomo kwa mwaka 2027, kuanzia ( darasa la awali) hadi Darasa la Saba! Chini ya paa Moja , St. Anne Marie Academy —inakutanisha elimu Bora, malezi Bora kwa watoto, nidhamu na uleaji wa vipaji. Shule yetu ina mazingira mazuri, tulivu na salama kwa ustawi wa mtoto wako, huku ikitoa huduma za kutwa na bweni, chini ya uangalizi wa walimu wabobevu, wenye uzoefu na upendo kwa watoto. Tunajivunia historia ya mafanikio makubwa kitaaluma, kwa kuwa miongoni mwa shule kumi bora kitaifa kwa miaka minne mfululizo, pamoja na kutoa wanafunzi bora kitaifa! St. Anne Marie Academy inazingatia afya na lishe bora, kwa kuwapatia watoto milo mitano kwa siku, ikiwemo matunda na mbogamboga zinazozalishwa shuleni. Pia, tunatoa usafiri wa uhakika wa nyumba kwa nyumba na fursa za kukuza vipaji vya watoto. Ada zetu ni nafuu na zinalipwa kwa awamu nne! Zaidi ya hapo, shule inatoa fursa kwa mtoto anayefiwa na mzazi kuendelea kusoma bure hadi atakapohitimu. Mzazi na mlezi, usaili unafanyika kila siku isipokuwa Jumapili! Mpe mwanao mwanzo bora wa safari yake ya elimu. Tupigie simu: 0714 284 220 / 0744 489 933 St. Anne Marie Academy — Superb Education!

1:28
MIRIAM💜 avatar
⟳ TricyLove🦁 retweeted
MIRIAM💜@MiriamMkanaka·15h

Kuna Mbio nyingine kuwa tayari kukimbia kwa Pace yako, watu wana watu wao😂halafu kuna sisi tunao mtegemea Mungu.

Post attachment
TricyLove🦁 avatar
⟳ TricyLove🦁 retweeted
TricyLove🦁@amprincess9·17h

Ziwa linafungwa (tunaingia giza) hivyo dagaa wa ziwa Victoria watakuwa adimu, wasiliana nasi kupata mboga mapema ili kuepuka usumbufu. Sado/1kg - 25,000 0759855572

Post attachment
Sarafina avatar
⟳ TricyLove🦁 retweeted
Sarafina@Finah_Business·19h

Good morning my love 😚 💥Mabakuli haya unasevia vyakula vyoteee, ukitandika meza, inapendeza sana 3pcs Tsh 49,000 0755693113 📍 Riverside karibu na Micasa, Mikoa yote tunatuma 💯

Post attachment
Extreme Introvert🧕💫 avatar
⟳ TricyLove🦁 retweeted
Extreme Introvert🧕💫@Sincerelyrahma7·Nov 17

Kila unapokuwa na mpango kuhusu ardhi au ujenzi, @GeoConstructors @Geo_Traverse Group tupo tayari kukuhudumia. Tunafanya ujenzi wa majengo, tunakusaidia kupata kiwanja, kuchora ramani ya nyumba yako, kupima ardhi na kufuatilia hati miliki. Utakapohitaji huduma hizi, huhitaji kuhangaika kutafuta wataalamu sehemu tofauti. GeoTraverse tunakutanisha huduma hizi sehemu moja, kwa gharama nafuu na kwa kuzingatia mahitaji yako. GeoTraverse Group of Companies – Your One-Stop Solution for All Your Land and Construction Issues. 📍 Dodoma, Barabara ya Tisa 📞 0719 336 667 | 0763 782 274 (WhatsApp) 🌐 geotraversegroup.com #GeoTraverse #GeoConstructors #ArdhiNaUjenzi #Dodoma

Post attachment
Sarafina avatar
⟳ TricyLove🦁 retweeted
Sarafina@Finah_Business·Nov 17

Good morning vipenzi 📌Watoto wenye akili wanatokana na wewe mzazi unalalia shuka gani?😅 Shuka 2, foronya 4-50,000 Mtumba grade 1, pure cotton 0755693113 📍 Riverside karibu na Micasa Mikoa yote tunatuma 💯, naomba rt

Post attachment

Tumba hilo 💥 tumba hilo 💥 Pair + 4 foronya-50k Hii size Yake futi 7.5*8.5 Njoo chukua hapa rivasaidi 0755693113

Post attachment